THE POWER OF SUCCESS FOR THE EAGLE EMPIRE
TAMBUA MAMBO MAKUU YA EAGLE
■Eagle ni ndege kama walivyo ndege wengine, ingawaje wao wana sifa za pekee hasa kutokana na ufundi wao wa kuwinda, kupaa na uwezo wao mkubwa wa kuona mbali. Kwa sababu kuna aina mbalimbali, hata maumbile yao yanatofautiana. Aina ya Eagle mwenye uzito mkubwa kabisa ni aina ya “Steller’s sea Eagle” ana uzito unaofikia kilogramu 6.7.
■Pamoja na sifa hizo, Eagle ana mambo mengine saba makubwa tunapaswa kujifunza katika maisha yetu. Mungu katika maandiko matakatifu anatolea mfano wa watu wanao mtegemea yeye; watakuwa kama Eagle. Ana sema hivi;-
■“Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamgojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama EAGLE; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu wala hawatazimia. Isaya 40:30-31”
■Ni jukumu lako kuyashika mafundisho na kuyafanyia kazi, na ukiyazingatia vema maisha yako yanabadilika kabisa na utakuwa mwanzo mzuri kwako kuelekea mafanikio makubwa. Hebu tujifunze mambo hayo saba kutoka kwa Eagle.
《☆》Jambo la kwanza
■Eagle hupaa juu sana angani wala shomoro na kunguru hawawezi kufika huko. Hakuna ndege yeyote mwenye uwezo wa kupaa juu sana kufikia kimo anachofikia Eagle, labda awe Eagle mwenyewe. Mara nyingi huwa tunawaona mwewe wakipita sehemu fulani, shomoro na kunguru huwazomea, lakini Eagle hataki vurugu hizo.
Tunajifunza nini? Kaa mbali na shomoro na kunguru. Eagle huruka na Eagle wenzake.
《2》Jambo la pili
■Eagle wanauwezo wa kuona mbali sana. Wanaweza kuona kitu kilichoko umbali wa kilometa tano. Eagle akiona mawindo yake huangalia pale pale na huanza kwenda kukamata mawindo hayo kwa kasi kubwa. Haijalishi kama kuna vipingamizi vyovyote njiani, Eagle hatabadili kuangalia mawindo yake hadi akamate mawindo.
■Tunajifunza nini? Unatakiwa kuwa na maono na uyatazame maono yako bila kuangalia pembeni mpaka uyapate au uyatimize hiyo ndiyo siri ya kuelekea mafanikio yako, haijalishi vikwazo unavyokumbana navyo njiani, wewe kaza mwendo bila kurudi nyuma.
《3》Jambo la tatu
■Eagle hali mizoga. Anakula kile tu alichokamata yeye.
Tunajifunza nini? Kuwa makini na kile unacholisha macho yako, masikio yako hasa kuangalia filamu na luninga. Usipende kutumia mizoga (mambo machafu) kwa sababu utaiharibu nafsi yako na maisha yako hayatakwenda kwa kasi kubwa ya mafanikio.
《4》Jambo la nne
■Eagle wanapenda mvua kubwa na yenye upepo.
Mawingu yakikusanyika Eagle wanafurahi. Eagle hutumia upepo wa mvua kupaa juu sana angani hata juu ya mawingu. Akifika huko juu sana hatumii nguvu nyingi kupaa anaweza kutandaza tu mabawa yake halafu anaanza kuelea bila shida akifurahia maisha mazuri.
Huku ndege wengine wakati wa mvua kubwa yenye upepo, hujificha kwenye mapango na kwenye vichaka.
■Tunajifunza nini? Tunaweza kutumia mvua kubwa yenye upepo (changamoto) kujinyanyua juu sana . watu wote waliofanikiwa wengi wao hufanikiwa wakati wa changamoto kubwa. Wao hutumia mvua ya upepo kupaa juu sana angani tena wakati mwingine juu ya mawingu.
《5》Jambo la tano
Eagle hupima kwanza kabla ya kuamini.
Eagle jike akikutana na Eagle dume na wakataka kujamiiana, Eagle jike hupaa kwa kasi kubwa kwenda chini wakati huo Eagle dume anafuatia kwa nyuma. Akifika chini huchukua tawi la mti kisha hupaa tena angani na tawi hilo huku Eagle dume anafuata kwa nyuma.
■Akifika umbali mrefu angani Eagle jike huliachia hilo tawi na Eagle dume hulikimbilia mpaka alikamate kabla halijadondoka chini na akisha likamata analirudisha tena juu kwa Eagle jike.
Eagle jike atalipokea hilo tawi na anapaa nalo juu sana halafu analidondosha tena. Kama kawaida yake Eagle dume atalifukuzia mpaka alikamate na atalirudisha kwa Eagle jike tena.
■Eagle jike ataendelea na mchezo huu mpaka ajiridhishe kwamba Eagle dume huyo, yuko vizuri na amefuzu majaribio hayo, hapo ndipo Eagle jike atakubali kupandwa na Eagle dume huyo.
■Tunajifunza nini? Katika maisha yako binafsi au katika biashara yako, unatakiwa kupima mtu unayetaka kushirikiana naye kama kweli amedhamiria kushiriki na wewe. Maana wapo wengine ni waigizaji tu.
《6》Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, Eagle jike na Eagle dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui.
■Kisha, Eagle dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Eagle dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota.
■Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, Eagle huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini, akimaliza kuweka majani laini anarudi tena kuchukua miiba anakuja anaiweka juu ya kiota ili kuzuia maadui, na mwisho akimaliza hayo yote ana nyonyoa baadhi ya manyoya yake ili kuweka sehemu ya mayai yatakapokuwa iwe laini.
■Eagle jike akisha taga mayai; wanasaidiana na Eagle dume kuyaatamia kwa zamu, pia kazi ya ulinzi huifanya wote kwa kushirikiana. Vifaranga wakishatotolewa; Eagle dume na Eagle jike hushirikiana kuwalea
■. Baada ya muda kidogo Eagle jike ataanza kuwatoa vifaranga na kuwaweka kwenye miiba pembeni kidogo ya kiota, halafu vifaranga hurudi ndani ya kiota, atafanya hilo zoezi mara kadhaa baadae atayaondoa manyoya kwenye kiota.
■Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha Eagle jike atawarusha chini wale vifanga; kabla hawajadondoka Eagle dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
■Tunajifunza nini? Pale Eagle wanapoandaa kiota wanatufundisha kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko. Lakini ushiriki wa mke na mume ni muhimu sana ili kujenga familia yenye mafanikio.
■Egle jike anapoyaondoa manyoa kwenye kiota, anataka tujifunze kwamba kuishi kwa maisha yale yale bila kuchomwa na miiba hutapata uzoefu na maarifa ya kukupeleka kwenye mafanikio.
■Miiba ( changamoto) ndizo zinazokukomaza kwenye safari yako ya kufanikiwa. Usizilaumu changamoto bali tafuta namna ya kukabiliana nazo huku ukijifunza kitu kutokana na changamoto hizo.
■Hata ukiwa na watoto wako, wakati mwingine wapitishe kwa makusudi kwenye mazingira magumu ili wajifunze kitu. Wapitishe mara kwa mara kisha unapomaliza kuwapitisha waulize wamejifunza nini?. Utakuwa unawasaidia.
《7》Jambo la saba
Eagle anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hayatamwezesha kupaa kwa kasi kama hapo mwanzo.
■Akiona hivyo huenda kwenye pango mbali na maadui, akifika humo kwenye pango hujinyonyoa manyoya yote hadi anabaki uchi kabisa. Anaendelea kujificha humo mpaka anaota manyoya mengine ndipo anatoka nje.
■Tunajifunza nini? Wakati mwingine tunatakiwa kuziacha baadhi ya tabia mbaya ambazo zinatukwamisha kufikia mafanikio yetu makubwa.
Tabia zinazotukwamisha kupaa kwa kasi kubwa ni mzigo kwetu
■. Tunatakiwa kuziacha mara moja. Sio tabia tu bali hata maarifa. Huenda bado unaishi kwa kutumia maarifa ya zamani ambayo yanakukwamisha kupaa kwa kasi kubwa kwenye mafanikio yako, basi unatakiwa kujifunza maarifa mapya ili uweze kufanikiwa kwa kasi kubwa.
WELCOME TO THE KINGDOM OF THE EAGLE, THE GOD OF SUCCESS
EAGLE POWER TUNA AMINI KATIKA UTAJIRI NA MAFANIKIO ,HATUAMINI KATIKA UMASIKINI.
MUONGOZO
■Eagle power ni nguvu yenye Mamlaka za juu yenye kumbadilisha Mwanadamu yeyote kutoka katika hali ya Chini na kumpandisha juu zaidi kimafanikio na kumfanya Mtu kuwa na Mamlaka ya kusikilizwa mahala popote.
■Eagle Power Ni nguvu yenye Mamlaka ya Utawala wa Kiroho Inayosababisha Jambo Lisilowezekana Likawezekana.
■Eagle Power Ni Mungu Mtawala wa Juu Mwenye Uwezo Wa Kusikiliza na Kutatua Matatizo Yote Yaliyoshindikana .
■Eagle power Ni Mungu Pekee Mwenye Majibu Ya Haraka Kwa Mtu anayemuomba Na Kumuabudu Kwa Imani yake Yote.
■Eagle power ni Yenye Ujasiri Mkubwa wa Kumtengeneza Mtu Kuwa Mpya Tofauti na Zamani.
■Eagle Power Ni Nguvu ya kiroho yenye Mamlaka Makubwa Ya Mafanikio Katika Ulimwengu.
■Eagle power Ni Nguvu Ya Mamlaka Inayoweza kukutoa Chini Na Kukupeleka Juu Katika Mbingu Tukufu.
VIGEZO NA MASHARTI
Zingatia yafuatayo pindi unapohitaji kuungana na nguvu ya mafanikio na Utajiri kupitia Nguvu ya Eagle.
UMRI
Unatakiwa kuwa na umri Kuanzia miaka (18) na kuendelea .
SIRI
Uwe na uwezo wa Kutunza Siri za chama pindi unapokuwa mwanachama ,
Hakuna kutoa siri ya Mafundisho Yeyote Yanayoyolewa na chama
UJASIRI
Unapaswa kuwa mwenye kujiamini kwa namna yeyote ,hupaswi kuwa na roho ya uoga katika jambo lolote linalohusika na mafanikio yako.
RATIBA ZA IBADA
Unapokuwa mwanachama wa eagle power unapaswa kufuatilia kwa kwa ukaribu zaidi ratiba za ibada na muda maalumu uliowekwa na viongozi
MAVAZI NA VIFAA VYA IBADA
Mavazi na vifaa ya ibada Tukufu ni vifaa vya kuheshimika ,hivyo ni lazima uweze kuzingatia wakati sahihi wa kutumia mavazi ya ibada pamoja na vifaa husika
MISAADA
Unapokuwa mwanachama wa Eagle power ni lazima uweze kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji Baada ya kupata mafanikio, hili ni azimio kuu katika chama cha eagle power.
UTEKELEZAJI
Unapoungana na jumuiya ya nguvu ya eagle ni lazima utekeleze na Ufuate Maagizo yeyote na Sheria za Chama
IMANI
Unapoamua kuungana na Jumuiya ya Eagle power hauruhusiwi kushika Imani Tofauti na imani ya mungu wa Eagle ,
ADA YA MWANACHAMA MPYA
Kama mwanachama mpya Ni lazima uweze kulipia Ada ya utambulisho wa mwanachama mpya ili kuweza kusajiliwa na kupatiwa muongozo wa njia za kufikia mafanikio kupitia Nguvu ya Eagle.
KAFARA
■ Eagle power Tuna Utaratibu wa kutoa kafara kila baada ya miezi 6 ,na kafara hizo huleta Neema kubwa na kufungua zaidi milango ya mafanikio kwa kila mwanajumuiya wa Eagle power.
■Kafara zetu ni Kutoa wanyama kama vile Ng'ombe na Mbuzi.
ZINGATIA KANUNI KABLA HAUJAJIUNGA
■unapojaza fomu ya kujiunga kuwa mwanachama wa Eagle power unatakiwa kukamilisha taratibu zote na sio kuishia Njiani.
■hautakiwi kujiunga endapo haujaamua kutoka moyoni ,fahamu kuwa Nguvu ya eagle ina uwezo mkubwa wa kiroho unaoweza kutambua nia na lengo lako.
■ hautakiwi kufanya mambo Nusu nusu unapokuwa umejiunga na jumuiya ya Eagle.
■ Hautakiwi kukataa kutoa kafara pindi utakapokuwa umejiunga na jumuiya ya Eagle.
■ hautakiwi kufanya kafara pasipo kupatiwa muongozo na uongozi wa juu wa eagle power.
■Mafanikio yako ni siri haupaswi kumtaarifu mtu yeyote kuhusu mambo yanayoendelea katika jumuiya ya Eagle , ukibainika utapata Adhabu kali .
NAMNA YA KUJIUNGA NA EAGLE POWER
■Eagle power ni Jumuiya huru ambayo kila mtu anaweza kujiunga mahala popote alipo bila kujali nchi au mkoa na hata kitongoji kupitia Tovuti yetu ya www.Eaglekingdompower.com
■Unaruhusiwa kujiunga wakati wowote na kuweza kuabudu nasi wakati wowote bila kujali dini ya aina yeyote kikubwa ni kuamini katika Eagle power.